Tag: habari za kimataifa
Tanzania yapanda kimataifa uhuru wa habari
Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka [...]
Migogoro zaidi ya 20,000 yapokelewa Kampeni ya Samia
Wizara ya Katiba na Sheria imesema migogoro 24,691 iliyodumu kwa muda mrefu ilipokelewa kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), a [...]
Rais Samia azindua Benki ya Ushirika kwa ajili ya kuimarisha Sekta ya Kilimo na Ushirika
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na jitihada za kuimarisha sekta ya ushirika na kilimo nchini kwa kuzindua benki ya kwanza ya ushirika, inayomiliki [...]

4R isiwe kisingizio kuvunja sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutotumia falsafa ya 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Kujenga Upya) kama kisingizio cha kuvunja [...]
Dk Mpango kumuwakilisha Rais Samia mazishi ya Papa Francisco
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango anatarajiwa kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu [...]
Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Papa Francis
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa waumini wa Kanisa Katoliki ndani na nje ya nchi kufuat [...]
Taarifa kuhusu muwekezaji aliyedai kunyanyaswa na mlinzi mkoani Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limetoa ufafanuzi wa picha mjongeao (video clip) iliyoonekana kusambaa kwenye mitandano ya kijamii ya Aprili 20, 2 [...]
Tanzania kuiwekea vikwazo Afrika Kusini na Malawi kuhusu biashara ya bidhaa za kilimo
Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe, ametangaza kuwa Tanzania itazuia uingizwaji wa mazao na bidhaa zote za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kus [...]
Rais Samia Suluhu kuwa mgeni rasmi katika tuzo za ‘Samia Kalamu’ Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za ‘Samia Kalamu’ zitak [...]
Tanzania yaondoa sharti la kulipia viza ya utalii kwa raia wa Angola
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali ya Tanzania itaondoa sharti la kulipia viza ya kitalii kwa Raia wa Angola kuingia Tanzania, kama amb [...]