Tag: habari za kimataifa
Tanzania namba moja katika ya maeneo 20 za kutembelewa 2025
Mtandao wa U.S. News & World Report unaojihusisha na maswala ya safari na utalii umetaja maeneo 20 muhimu kwa watalii kutembelea Afrika 2025 ambap [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,548
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,548 kwa vigezo mbalimbali ambapo 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024 na 1,526 [...]
SADC yasisitiza uchaguzi wa amani Namibia
Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa wito kwa wananchi wa Namibia kukumbatia amani na umoja kabla [...]

Rais Samiaa aagiza kufungwa eneo maafa yalipotokea Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza eneo la biashara ambalo ghorofa lilianguka Novemba 16, Kariakoo Dar es Salaam, lifungwe na kusiwe na biashara yoyote [...]
Rais Samia: Kwaheri King Kikii
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii pamoja na wapenzi wa muziki kufuatia kifo cha mwanamuziki [...]
Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama [...]
BoT: Uchumi hautoathirikia noti zikiondolewa
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uamuzi wa kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za Shilingi ya Tanzania zilizoidhinishwa kutumika na benki hiyo m [...]

Rais Samia kwenda Marekani kushiriki Mjadala wa Norman E.Borlaug
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hii leo tarehe 29 Oktoba 2024, anatarajia kuondoka nchini kuelekea Des Moines, nchini Mar [...]
Polisi wamshikilia aliyetishia na kujeruhi kwa silaha 1245
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linamshikilia Derick Junior (36) Mkazi wa Salasala, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujeruhi n [...]
TZS 233.3 bilioni za mkopo zanufaisha wanafunzi 70,990 wa mwaka wa kwanza
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Heslb) imesema wanafunzi 70,990 wa mwaka wa kwanza wamepatiwa mkopo wenye thamani ya Sh 233.3 bilioni kwa [...]