Tag: habari za kimataifa
Rais Samia ahimiza jamii kuwalea watoto wakike katika maadili mema
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepongeza mashindano ya dunia ya Qur'an Tukufu kwa wasichana yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Benjamin [...]
Jeshi la Polisi labaini mpango wa CHADEMA wa kuvamia vituo vya polisi
Kufuatia tamko la Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuna ushahidi unaothibitisha kuwa viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) wanas [...]
Rais Samia: Shirika kama halifanyi vizuri liondoke
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa mashirika ya umma yasiyofanya kazi kwa tija hayana budi kufutwa. Akizungumz [...]
Rais Samia: Nendeni mkajiongeze na kuviishi viapo vyenu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni kwenda kuongeza ufanisi katika maeneo yao ya kazi na kuishi kwa kufuata viapo wal [...]
Mamia ya wafuasi wa Chadema na viongozi wao waachiwa
Jeshi la Polisi limewaachia mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pamoja na viongozi wao wakuu baada ya kuwakamata ndani ya [...]
Rais Samia: Wazazi waacheni watoto wasome
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Ifakara na Mlimba kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa manufaa ya jamii na taifa kwa [...]
Ziara za Rais Samia nje ya nchi zaleta matunda
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua kubwa kwa kutenga hekari 80 za ardhi huko Zanziba [...]
Rais Samia azindua Daraja la Berega, aahidi kuboresha miundombinu na kuimarisha uchumi wa wananchi
Mkoani Morogoro, Rais Samia Suluhu Hassan ameanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro kwa kuzindua Daraja la Berega, mradi ambao unatajwa kuwa na mch [...]
Kiongozi mkuu wa Hamas auawa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimes [...]
Rais Samia: Uchumi wetu ni himilivu
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea mafanikio makubwa ambayo Tanzania imeyapata katika kuimarisha uchumi na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji na [...]