Tag: nafasi za kazi
Tusitoke kwenye mstari, Tanzania inapaa kimaendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan Ameandika Historia Mpya ya Maendeleo, tumuunge mkono
Na GULATONE MASIGA
Tanzania imethibitisha kwamba inapoongozwa kwa [...]
CCM yazindua Harambee ya kuchagia fedha kwa ajili ya kampeni
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua rasmi harambee ya kitaifa kwa lengo la kuchangia fedha za kufanikisha kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 [...]
Mpina ahamia ACT Wazalendo
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa na Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amehamia rasmi chama cha ACT Wazalendo leo Agosti 5, 2025.
Mp [...]
CADFUND yaahidi kuendelea kuipa Tanzania kipaumbele
Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo Kati ya China na Afrika (China-Africa Development Fund) umeahidi kuendelea kuipa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kip [...]
Kituo kikubwa cha upandikizaji figo kujengwa Tanzania
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja, hatua inayoboresha upatikanaji wa huduma hiyo kwa urahisi [...]
Leseni maalum za uzalishaji chumvi mbioni kuanza
Serikali ipo mbioni kutambulisha leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi kwa lengo la kuiondoa bidhaa hito katika kundi la madini mengineyo.
Hayo yalis [...]
Chanzo cha kukatika umeme Mbagala
Wizara ya Nishati, imetaja chanzo cha kukatika umeme jimbo la Mbagala, Dar es Salaam, kuwa ni kuzidiwa kwa Kituo cha Kupoza Umeme cha Mbagala.
Imes [...]
Migogoro zaidi ya 20,000 yapokelewa Kampeni ya Samia
Wizara ya Katiba na Sheria imesema migogoro 24,691 iliyodumu kwa muda mrefu ilipokelewa kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), a [...]

4R isiwe kisingizio kuvunja sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutotumia falsafa ya 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Kujenga Upya) kama kisingizio cha kuvunja [...]
Dk Mpango kumuwakilisha Rais Samia mazishi ya Papa Francisco
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango anatarajiwa kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu [...]

