Tag: nafasi za kazi

4R isiwe kisingizio kuvunja sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutotumia falsafa ya 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Kujenga Upya) kama kisingizio cha kuvunja [...]
Dk Mpango kumuwakilisha Rais Samia mazishi ya Papa Francisco
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango anatarajiwa kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu [...]
Taarifa kuhusu muwekezaji aliyedai kunyanyaswa na mlinzi mkoani Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limetoa ufafanuzi wa picha mjongeao (video clip) iliyoonekana kusambaa kwenye mitandano ya kijamii ya Aprili 20, 2 [...]
CHADEMA kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi mwaka huu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao cha leo [...]
ATCL kuanza safari za moja kwa moja Kinshasa
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kuanza safari za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo (DRC) hatua i [...]
Tanzania yashiriki Mkutano wa Mpango wa Mattei wa Afrika, Italia: Reli kuziunganisha Bahari za Atlantiki na Hindi
Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Italia na Afrika ( Matttei Plan for Africa) unatarajiwa kuboresha miundombinu ya maendeleo Afrika kwa kuunganish [...]
Jeshi la Polisi latangaza nasafi za ajira
Jeshi la Polisi la Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki, likiwataka kutuma maombi yao kupitia mfumo wa aji [...]
Rais Samia ampisha mwanafunzi kukalia kiti chake
Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara yake wilayani Muheza, mkoa wa Tanga, alifanya kitendo kilichogusa hisia za watu wengi baada ya kumpisha [...]
Rais Samia azindua jengo la Halmashauri Bumbuli
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga lililogharimu zaidi ya shilingi bilioni 3,2.
J [...]
Hungary kufungua ofisi ndogo ya ubalozi Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabid Kombo (Mb.), tarehe 21 Februari, 2025 jijini Budapest, Hungary, a [...]