Tag: nafasi za kazi
Rais Samia Kupokea Tuzo ya Gates Goalkeepers kwa Uongozi Bora katika Afya
Dar es Salaam – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kupokea The Gates Goalkeepers Award, tuzo inayotolewa na Bill & Melinda Gates F [...]
Benki ya Maendeleo ya Afrika yamsifu Rais Samia kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia
BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia Afrika.
Pia, AfDB imesifu juhud [...]
Wafanyabiashara wakimbilia fursa SGR
BAADHI ya wafanyabiashara wamejitokeza kwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutaka wawe wanasafirishiwa mizigo yao kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma waka [...]
Rais Samia: Goli la mama litakuwepo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi uwepo wa goli la mama katika mashindano wa kombe la Mapinduzi mwaka hu [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia [...]
Umeme nyumba kwa nyumba
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasish [...]
Ruzuku ya mbegu na mbolea kutolewa kidigitali
Serikali ya Tanzania imesema mfumo mpya wa kigitali wa kusajili wakulima uliobuniwa hivi karibuni utasaidia wakulima kupata ruzuku ya mbolea kwa urahi [...]
Rais Samia kuunda tume ya uchunguzi Ngorongoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masua [...]
Rais Samia: Maamuzi ya wapiga kura yaheshimiwe
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kuheshimiwa kwa maamuzi ya wapiga kura akieleza kwamba demokrasia yenye nguvu hujengwa kwa misingi ya heshima na ms [...]

Rais Samiaa aagiza kufungwa eneo maafa yalipotokea Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza eneo la biashara ambalo ghorofa lilianguka Novemba 16, Kariakoo Dar es Salaam, lifungwe na kusiwe na biashara yoyote [...]

