Tag: nafasi za kazi
Rais Samia aongeza muda wa uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, m [...]
Rais Samia: Kwaheri King Kikii
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii pamoja na wapenzi wa muziki kufuatia kifo cha mwanamuziki [...]
Maonesho ya utalii wa Tanzania Ujerumani yafana
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Hassan Mwamweta ameyataka makampuni makubwa ya Utalii nchini Ujerumani kuifanya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan [...]
BoT: Uchumi hautoathirikia noti zikiondolewa
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uamuzi wa kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za Shilingi ya Tanzania zilizoidhinishwa kutumika na benki hiyo m [...]
Polisi wamshikilia aliyetishia na kujeruhi kwa silaha 1245
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linamshikilia Derick Junior (36) Mkazi wa Salasala, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujeruhi n [...]
Adani Foundation yaanzisha mpango wa kielimu wa kwanza Afrika nchini Tanzania
Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited (TEAGTL), kupitia Adani Foundation, imetangaza kusaini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na IIT-Madras Za [...]
Zaidi ya wananchi 18,000 kunufaika na mradi wa maji Bukoba
WANANCHI zaidi ya 18000 wa kata sita za Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera waliokuwa na changamoto ya maji kwa muda mrefu wanatarajia kunufaika na mradi w [...]
Rais Samia: Tunatekeleza Ilani kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amesema serikali yake ya awamu ya sita inafanya kazi kwa kuzingatia maagaizo yaliyotolewa na [...]
Rais Samia: Tusikubali kugawanywa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuweka mbele maslahi ya taifa na kukataa migawanyiko ya kisia [...]
Rais Samia awataka Watanzania kusimama imara na kuungana
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuungana na kukemea vitendo vya mauaji vinavyotokea nchini ili kukomesha matukio hayo badala [...]

