Tag: nafasi za kazi
Rais Samia: Maafisa ugani ni mashujaa
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kutambua na kupongeza juhudi za maafisa ugani na maafisa ushirika katika kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo nc [...]
Mwendokasi Gerezani- Mbagala kuanza Novemba mwaka huu
Huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi katika njia ya Gerezani hadi Mbagala, jijini Dar es Saalam, unatarajiwa kuanza Novemba [...]
Rais Samia azindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi, ahimiza ushirikiano na sekta binafsi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kutekeleza ahadi zake kwa vitendo baada ya kuzindua Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kilichopo mkoani [...]
Rais Samia azindua Daraja la Berega, aahidi kuboresha miundombinu na kuimarisha uchumi wa wananchi
Mkoani Morogoro, Rais Samia Suluhu Hassan ameanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro kwa kuzindua Daraja la Berega, mradi ambao unatajwa kuwa na mch [...]
Ruto atangaza Baraza la Mawaziri
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza orodha nyingine ya Mawaziri wapya 10. Kwenye Orodha hiyo, Ruto amechagua mpaka mawaziri kutoka vyama vya Upinza [...]
Ruto: Ford Foundation iache kufadhili vurugu Kenya
Rais wa Kenya, William Ruto, ameikosoa vikali taasisi ya Ford Foundation kwa madai ya kufadhili vurugu nchini humo. Akizungumza mbele ya umma, Ruto al [...]
Serikali yajizatiti kukuza sekta ya kilimo na kuboresha huduma za Afya
Katavi, Tanzania - Katika ziara yake mkoani Katavi leo Julai 14,2024 , Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza hatua muhimu zinazochukuliwa na serikali ya [...]
Orodha ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejeshwa Soko la Kariakoo
Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada [...]
Pato la Taifa lapaa kwa 5.1%
Taarifa ya hali ya uchumi wa taifa imeonyesha ongezeko katika Pato Halisi la Taifa kwa kufika ashilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141 [...]
“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema alifokewa na wajumbe wa NEC wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipoamua kuruhusu vyama vya siasa kuanza mikutano ya hadhar [...]