Tag: trending videos
Tanzania kuzisaidia nchi tisa masuala ya utabiri hali ya hewa
Kutokana na Mamlaka ya Hewa Tanzania (TMA) kuendelea kuhimili viwango vya utoaji huduma kimataifa, Tanzania kupitia TMA imepewa jukumu la kusaidia nch [...]
Serikali imevuka lengo la ukuaji Pato la Taifa
Wizara ya Fedha imesema imevuka lengo la ukuaji hali wa Pato la Taifa.
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema mwaka jana pato hilo lilikua kwa [...]
Kituo kikubwa cha upandikizaji figo kujengwa Tanzania
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja, hatua inayoboresha upatikanaji wa huduma hiyo kwa urahisi [...]
Laini za simu 47,728 zafungiwa kwa uhalifu, ulaghai mtandaoni
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imebaini kuzifungia laini za simu 47,728 na Nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 zi [...]
Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC
Klabu ya Yanga Sc imesema itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki mchezo namba 184 kwa kile kinachodaiwa kutoridhika na uamuzi wa Mahakama ya Kimata [...]

4R isiwe kisingizio kuvunja sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutotumia falsafa ya 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Kujenga Upya) kama kisingizio cha kuvunja [...]
Dk Mpango kumuwakilisha Rais Samia mazishi ya Papa Francisco
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango anatarajiwa kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu [...]
CHADEMA kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi mwaka huu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao cha leo [...]
Tanzania yaondoa sharti la kulipia viza ya utalii kwa raia wa Angola
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali ya Tanzania itaondoa sharti la kulipia viza ya kitalii kwa Raia wa Angola kuingia Tanzania, kama amb [...]
Panya wa Tanzania Ronin avunja rekodi ya Panya Magawa
Panya mkubwa wa kiafrika (Cricetomys ansorgei) mwenye jina la Ronin amepata sifa ya kugundua mabomu 109 ya ardhini na vipande 15 vya ziada vya risasi [...]