Tag: trending videos
Rais Samia ahimiza jamii kuwalea watoto wakike katika maadili mema
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepongeza mashindano ya dunia ya Qur'an Tukufu kwa wasichana yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Benjamin [...]
Rais Samia: Shirika kama halifanyi vizuri liondoke
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa mashirika ya umma yasiyofanya kazi kwa tija hayana budi kufutwa. Akizungumz [...]
Rais Samia amuunga mkono Raila Odinga AU
Nairobi, Kenya – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempongeza kwa dhati Mheshimiwa Raila Amolo Odinga kwa uongozi wake wa [...]
Rais Samia: Michezo ni ajira na biashara kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy Mkunguni-Kizimkazi, hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa [...]
Serikali yaokoa trilioni 1.5 chini ya uongozi wa Rais Samia miezi minne ya kazi DP World bandarini
Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dol [...]
Rais Samia: Maafisa ugani ni mashujaa
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kutambua na kupongeza juhudi za maafisa ugani na maafisa ushirika katika kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo nc [...]
Morogoro wamkosha Rais Samia, aahidi kurudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akikaribia kumaliza rasmi ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani Morogoro, ametoa shuk [...]
Rais Samia: Wazazi waacheni watoto wasome
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Ifakara na Mlimba kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa manufaa ya jamii na taifa kwa [...]
Changamoto za Teknolojia Mpya: Kutoka Beijing-Shanghai hadi SGR ya Tanzania
Katika ulimwengu wa usafiri wa kisasa, treni za mwendokasi zimekuwa alama ya maendeleo ya teknolojia. Hata hivyo, tukio la kukatika kwa umeme kwenye r [...]
Kiongozi mkuu wa Hamas auawa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimes [...]