Tag: trending videos
CCM yamjibu Nape kuhusu ushindi wa chaguzi
Dar es Salaam, Tanzania - Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla, kimetoa maj [...]
Siku nne Katavi: Rais Samia aridhishwa na maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku nne mkoani Katavi akieleza kuridhishwa na maendeleo yaliyopatikana na matumizi bora ya fedha kut [...]
Shilingi bilioni 2 za kuwasha majenereta Katavi zaokolewa
Rais Samia Suluhu Hassan ametembela Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme wa Gridi wa Taifa kilichopo Inyonga mkoani Katavi na kisha kuzungumza na wananch [...]
Falsafa ya 4Rs: Rais Samia Suluhu na mwelekeo mpya wa uongozi Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hivi karibuni alitoa mhadhara muhimu wenye mada ya Falsafa ya 4Rs katika Chuo Cha Taifa [...]
Tamko la Serikali kuhusu mauaji ya albino
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo tarehe 20 Juni 2024 ametoa taarifa ya Serikali Bungeni kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye Ualbino.
20.06.20 [...]
Uchumi wakua kwa asilimia 5.4
Serikali imesema mikakati ya kukabiliana na athari za vita katika eneo la Ukraine pamoja na uwekezaji katika sekta za kilimo, nishati, maji, ujenzi, m [...]
Tanzania ya kwanza Afrika, ya tano duniani kwa ongezeko la watalii
Shirika la Utalii la Umoja wa Mataifa (UN) kupitia takwimu zake za robo ya kwanza ya mwaka 2024 katika Ripoti yake ya World Tourism Barometer imeitaja [...]
Tanzania kinara kwa uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki
Tanzania imekuwa nchi bora yenye uhuru wa vyombo vya habari katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya maboresho yaliyofanywa na Serikali y [...]
Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja ,amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr.
Kupitia kuras [...]
Rais Samia hahusiki na sadaka ya Sh 5,000 Pemba, ni upotoshaji
Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Has [...]