Toyota IST hatarini Dar es Salaam

HomeKitaifa

Toyota IST hatarini Dar es Salaam

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewataka wamiliki wa magari aina ya Toyota IST kuongeza ulinzi kwenye magari yao kufuatia kuwepo kwa kikundi cha wezi kinacholenga kuiba magari hayo ambayo thamani yake ni kati ya milioni 11 hadi 12.

Kamanda Muliro amewaomba wananachi wote kuendelea kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi ili kulisaidia jeshi kuwakamata na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wale wote watakaobainika kujihusisha na na vitendo hivyo vya uhalifu.

error: Content is protected !!