Urusi kuweka sheria ngumu kuwahi kutokea duniani juu ya UVIKO-19

HomeKimataifa

Urusi kuweka sheria ngumu kuwahi kutokea duniani juu ya UVIKO-19

Kituo cha runinga cha nchini Urusi Russia Today (RT) kimeripoti kwama Taifa la Urusi linajiandaa kuweka sheria ngumu ya kupambana na UVIKO-19 ambayo haijawahi kutokea sehemu yeyote ile duniani.

Moja ya sheria hiyo ni kwa watu wazima kutembea na namba za msimbo milia (QR Code) maalumu zitakazoonesha kuwa mtu amechanjwa au la. Zoezi hili litakuwa kwa watu wazima pekee. Kwa sasa Urusi inasubiria muswada wa sheria hiyo upitishwe na Bunge. Habari zaidi zitakujia hapahapa click habari

error: Content is protected !!