Waziri wa Nishati, January Makamba amefanya uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).