Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali Mikindani Mtwara baada ya kufeli breki, waliofariki 8 ni Wanafunzi, Dereva na Mwangalizi mmoja, majeruhi ni 19.
Newer Post
Rais Samia atuma salamu za pole Mtwara Older Post
Amuua mkewe kisa elfu kumi