Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara

HomeKitaifa

Ajali ya basi la shule yaua watu 10 Mtwara

Watu 10 wamefariki asubuhi hii baada ya Basi dogo la Wanafunzi (Toyota Hiace T207 CTS) la Shule ya King David Mtwara kupata ajali Mikindani Mtwara baada ya kufeli breki, waliofariki 8 ni Wanafunzi, Dereva na Mwangalizi mmoja, majeruhi ni 19.
 
error: Content is protected !!