Msemaji Mkuu wa Serikali, Msigwa Gerson amesema leo Serikali imekutana na viongozi wa TUCTA kwa ajili ya kuwasikiliza, baada ya mazungumzo ya awali viongozi hao wameomba kupewa muda wa majadiliano zaidi. Hiyo ni baada ya kuwepo kwa malalamiko ya nyongeza ya mshahara.
#KIKAOSERIKALINATUCTA Leo Serikali imekutana na viongozi wa TUCTA na viongozi wa Vyama vinavyounda TUCTA kwa ajili ya kuwasikiliza, baada ya mazungumzo ya awali viongozi hao wameomba kupewa muda wa majadiliano na baadae watakuja kuzungumza na Serikali – Msemaji Mkuu @MsigwaGerson pic.twitter.com/poCHTPmEgX
— Msemaji Mkuu wa Serikali (@TZMsemajiMkuu) July 26, 2022