Ufafanuzi wa 23.3% kwenye mshahara

HomeKitaifa

Ufafanuzi wa 23.3% kwenye mshahara

Msemaji Mkuu wa Serikali, Msigwa Gerson amesema leo Serikali imekutana na viongozi wa TUCTA kwa ajili ya kuwasikiliza, baada ya mazungumzo ya awali viongozi hao wameomba kupewa muda wa majadiliano zaidi. Hiyo ni baada ya kuwepo kwa malalamiko ya nyongeza ya mshahara.

error: Content is protected !!