Wema amuonea wivu Vanessa Mdee

HomeBurudani

Wema amuonea wivu Vanessa Mdee

Wakati wengi wakimpongeza staa, Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi kwa kuweza kupata mtoto wa kiume waliyempa jina la Seven Adeoluwa Akinosho, mwigizaji pendwa toka nchini Tanzania Wema Sepetu amempongeza Vanessa kwa kumwambia kwamba anamuonea wivu kwa kupata mtoto.

> Mbwa mwitu waiba begi la Shakira

Wema ameandika kwenye  picha aliyoweka Vanessa kwenye ukurasa wake wa instagram akieleza “Im sooo jealous congrats my baby..” akimaanisha kwamba anampongeza Vanessa na anamuonea wivu sana.

Vanessa amemjibu Madam Wema Sepetu kwa kumwambia kwamba ipo siku atapata mtoto na kutoa ushuhuda utakaokuwa wa kuvutia.

error: Content is protected !!