Leo katika Historia: Mahatma Gandhi alizaliwa

HomeElimu

Leo katika Historia: Mahatma Gandhi alizaliwa

Tarehe kama ya leo mwaka 1869 alizaliwa Mahatma Gandhi, kiongozi wa harakati ya kupigania uhuru nchini India kutoka moja ya vijiji vya jimbo la Gujarat. Mwaka 1891 Miladia Gandhi alirejea kutoka nchini Uingereza na kuishi mjini Mumbai.
Miaka michache baada ya Vita vya Kwanza na vya Pili vya Dunia yaani akiwa na umri wa miaka 33 aliongoza mapambano kwa ajili ya kuwaokoa watu wake sanjari na kupigania uhuru wa India kutoka mikononi mwa Waingereza ambapo alifanikiwa kulipatia uhuru taifa hilo mwaka 1947.

Mwaka 1974 mgogoro wa mipaka kati ya nchi za Iran na Iraq ulianza na kusababisha uhasama baina ya mataifa hayo ya Mashariki ya Kati. Iran imetangaza kuendelea na hatua yake ya kutengeneza silaha za nyuklia.

 

error: Content is protected !!