Author: Elibariki Kyaro
Polepole apata shavu ubalozi
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi katika uteuzi uliofa [...]
Mjue Bibi Titi Mohammed, Mwanamke aliyezishinda Marekani na Urusi
Bibi Titi Mohammed, alizaliwa Dar es Salaam mwaka 1926, wazazi wake wote wakitokea Rufiji mkoa wa Pwani na walikuwa waumini wa dini ya Kiislamu. Baba [...]
Leo katika Historia: Majeshi ya Uingereza na Ujerumani yanapigana huko Misri
Siku kama ya leo mwaka 1942, vita vya kihistoria vilivyopewa jina la El-Alamein vilitokea katika mji wenye jina kama hilo huko Kaskazini mwa Misri kat [...]
Kama umetumia mswaki mmoja kwa muda huu, uko hatarini!
Inawezekana watu wengi wakawa wanapiga mswaki kama utamaduni tu, lakini wasiwe wanaelewa zaidi faida, hasara au hata tahadhari za kuchukua kwenye kute [...]
Fahamu vyakula aina 7 hatarishi kwa malezi ya mtoto wa umri chini ya mwaka 1
Katika malezi na ukuaji mtoto aliye chini ya mwaka mmoja huwa na masharti mno katika aina ya vyakula. Ni vizuri ukajua ni vyakula gani ambavyo mtoto h [...]
Binti wa Mayweather hatarini kufungwa miaka 20 kwa kugombea penzi
Aprili 2, 2020 Yaya Mayweather alikwenda nyumbani kwa mpenzi wake, rapa NBA YoungBoy na kumkuta aliyewahi kuwa mpenzi wa mchumba wake huyo, Lapattra L [...]
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua dereva bodaboda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Kanda ya Mbeya imemhukumu Emmanuel Msomba kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mauaji ya dere [...]
Waandishi wa habari Rukwa watakiwa kuchanjwa UVIKO-19
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti amewataka waandishi wa habari kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 kwa kuwaambia wao pia wapo katika makundi hatar [...]
Mganga abaka ili apate mbegu za kutengeneza dawa
Mganga mmoja kutoka Chakechake, Zanzibar amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela ya kulipa fidia ya shilingi milioni 1 kwa kosa la kumbaka mke wa rafi [...]
Fahamu jinsi ya kukokotoa GPA ya chuo
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na mijadala mitandaoni kuhusu masuala ya ufaulu wa wanafunzi vyuoni, mijadala ambayo imeibuliwa na matokeo ya Chuo Kikuu [...]