Leo katika Historia: Majeshi ya Uingereza na Ujerumani yanapigana huko Misri

HomeElimu

Leo katika Historia: Majeshi ya Uingereza na Ujerumani yanapigana huko Misri

Siku kama ya leo mwaka 1942, vita vya kihistoria vilivyopewa jina la El-Alamein vilitokea katika mji wenye jina kama hilo huko Kaskazini mwa Misri kati ya wanajeshi wa Uingereza na jeshi la Naz la Ujerumani.

Vita hivyo vilimalizika baada ya kushindwa kwa jeshi la Ujerumani, japokuwa mapigano kati ya pande hizo mbili yaliendelea katika maeneo mengine ya Kaskazini mwa Afrika.

Amani na uhuru kamili ulipatikana katika maeneo hayo baada ya kushindwa kikamilifu jeshi la Ujerumani wakati wa Vita vya Pili vya Dunia. 

error: Content is protected !!