Polepole apata shavu ubalozi

HomeUncategorized

Polepole apata shavu ubalozi

Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi  wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi katika uteuzi uliofanywa leo hii na Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu Dodoma.

Katika uteuzi huo Rais Samia ameteua viongozi wengine watano.

Balozi Mteule Polepole ataapishwa 15 Machi, 2022 saa 04:00 asubuhi katika viwanja vya Ikulu, Chamwino, Dodoma.

error: Content is protected !!