Diamond amjibu Harmonize

HomeBurudani

Diamond amjibu Harmonize

Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Simba ameamua kujitokeza na kuongelea ishu ile aliyozungumzia Harmonize kuhusu sababu za yeye kuondoka WCB

Diamond Platnumz amekanusha madai ya Harmonize kuhusu yeye kuwakandamizi wanamuziki walio chini ya lebo yake na kusema yeye hana roho ya korosho ya kuchukia mafanikio ya wengine.

“Nashauri mimi kwa wasanii wa kitanzania, tuna nafasi kubwa sana ya kwenda mbali tusifocus tu na kuwaza diamond diamond … sahivi mwenyewe huko nilipo najiona niko peke yangu nataka watu wengine waje,” amesema Diamond Platnumz.

Ndani ya interview hiyo Diamond na Zuchu wamekana kuwa na mahusiano wala kuwa na hisia za kimapenzi kati yao.

error: Content is protected !!