Author: Asmah Sirikwa

1 2 3 11 10 / 102 POSTS
Samaki walewa madawa

Samaki walewa madawa

Katika Jimbo la Florida, Marekani, samaki aina ya 'bonefish' wamekutwa wakiwa wamelewa madawa mbalimbali ya binadamu. Kati ya samaki 93 waliopimwa  [...]
Moto wateketeza soko Temeke

Moto wateketeza soko Temeke

Soko la Vetereni lililopo Temeke, Dar es Salaam limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza vibanda vipatavyo 250 kati ya 453. Mkuu wa Mk [...]
AFYA: Imani zinazoaminika japo ni uongo

AFYA: Imani zinazoaminika japo ni uongo

Kuna imani potofu za kiafya kwenye jamii ambazo zinaendelea kuaminika kuwa ni ukweli licha ya tafiti kufanyika na kubaini kuwa hazina ukweli wowote. [...]
Anayesadikiwa kuua wanae azimia

Anayesadikiwa kuua wanae azimia

Baba wa watoto watatu wa Shule ya Msingi Ratanda na Shule ya Sekondari ya Khanya Lesedi waliofariki dunia baada ya kupewa 'energy dink' (kinywaji cha [...]
Mbunge Mwambe avuta jiko bungeni

Mbunge Mwambe avuta jiko bungeni

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Azzan Zungu amewapongeza wabunge wawili, Cecil Mwambe (Mbunge wa Ndanda) na Rose Tweve (Mbunge wa Viti Maalum - Irin [...]
Marufuku kupokea  zawadi zaidi ya Sh 4,500

Marufuku kupokea zawadi zaidi ya Sh 4,500

Maafisa wote wa serikali wanakatazwa kisheria kuchukua zawadi ya gharama ya zaidi ya Ksh 4,500 ~ Tsh 90,000 na endapo watapokea zawadi hiyo wanapaswa [...]
Afrika Kusini kuwa na lugha za Taifa 12

Afrika Kusini kuwa na lugha za Taifa 12

NCHI ya Afrika Kusini ni ya tatu duniani kwenye orodha ya nchi zenye lugha za Taifa nyingi zaidi kwa kuwa na lugha 11 na bado namba hiyo inaongezeka. [...]
Mapendekezo ya Wanangorongoro

Mapendekezo ya Wanangorongoro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo ya wananchi wa Tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kulinda uhifadhi wa maeneo [...]
Mshindi wa ‘Nobel Prize’ arejea Zanzibar

Mshindi wa ‘Nobel Prize’ arejea Zanzibar

Mshindi wa Tuzo ya Fasihi ya Nobel 2021 Prof. Abdulrazak Gurnah ameitikia wito wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein M [...]
Ashikiliwa kwa kubaka watoto watatu

Ashikiliwa kwa kubaka watoto watatu

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia kijana mmoja mkazi wa Nshambya, Bukoba kwa tuhuma ya kuwabaka watoto watatu wa darasa la tatu na nne, weny [...]
1 2 3 11 10 / 102 POSTS
error: Content is protected !!