Author: Asmah Sirikwa

1 2 3 4 11 20 / 102 POSTS
Todd Boehly ainunua Chelsea

Todd Boehly ainunua Chelsea

Baada ya miaka 19 chini ya uongozi wa Roman Abramovich wa raia wa Urusi-Israeli, klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea sasa kuhamia mkononi mw [...]
Madini ya Afrika yanayotumika kutengeneza simu

Madini ya Afrika yanayotumika kutengeneza simu

Utajiri mkubwa wa Afrika upo kwenye ardhi yake, ardhi yenye rutuba kustawisha mimea, lakini ardhi hiyohiyo yenye kuficha vito vya thamani na vya upeke [...]
PM amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji Arusha

PM amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 24 amewasimamisha kazi watumishi sita wa jiji la Arusha akiwemo Mkurugenzi wa jij hilo Dkt. John Pima kwa makosa [...]
Mchezaji wa Serengeti Girls gumzo mtandaoni

Mchezaji wa Serengeti Girls gumzo mtandaoni

Mchezaji wa timu ya Taifa chini ya miaka 17 - Serengeti Girls, aliyeifungia Tanzania magoli matatu kati ya manne kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia [...]
Ajali mbaya yaua watatu

Ajali mbaya yaua watatu

WATU watatu wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Mohamed Classic iliyotokea Hanang mkoani Manyara. Basi hilo lenye nam [...]
Chanzo cha watu kupigwa mawe Arumeru

Chanzo cha watu kupigwa mawe Arumeru

Mkoani Arusha, wilayani Arumeru, wananchi wamekuwa wakipigwa na mawe kwa takribani wiki mbili sasa bila kujua mawe hayo yanatoka wapi. Baada ya kuz [...]
Mwanamke wa kwanza Afrika kuchezesha Kombe la Dunia

Mwanamke wa kwanza Afrika kuchezesha Kombe la Dunia

Akiwa na binti mdogo mwenye mapenzi makubwa na michezo, mara baada ya kuambiwa kuwa yeye ni mdogo sana kucheza mpira wa kikapu, aliamua kuhamishia map [...]
Watangazaji walazimika kuficha sura

Watangazaji walazimika kuficha sura

Sheria mpya ya viongozi wa Taliban nchini Afghanistan imewalazimisha waandishi wa habari na watangazaji wanawake kuziba nyuso zao wanapoonekana kwenye [...]
Wabunge waomba mshahara milioni 23

Wabunge waomba mshahara milioni 23

Wabunge wa Kenya wameomba ongezeko la 62% ya mshahara wao ili kufikia shilingi milioni 1.15 ya Kenya sawa na milioni 23 za Kitanzania. Wabunge hao [...]
Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Kesi ya mauaji iliyotokea 2016 imeahirishwa baada ya Tumbili kuiba ushahidi nyeti wa kesi hiyo. Polisi wa Rajasthan hivi karibuni wameshindwa kufik [...]
1 2 3 4 11 20 / 102 POSTS
error: Content is protected !!