Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

HomeKimataifa

Ushahidi wa mauaji mikononi mwa Tumbili

Kesi ya mauaji iliyotokea 2016 imeahirishwa baada ya Tumbili kuiba ushahidi nyeti wa kesi hiyo.

Polisi wa Rajasthan hivi karibuni wameshindwa kufikisha mahakamani vielelezo vya ushahidi wa mauaji ya kijana Shashikant Sharma kwa madai kuwa mfuko uliokuwa umehifadhi kisu kilichotumika kwenye mauaji hayo uliibiwa na tumbili aliyekimbilia porini.

Lakini begi lililokuwa na ushahidi liliwekwa chini ya mti katika kituo cha polisi baada ya sehemu ya kuhifadhia ushahidi kaika kituo hicho kujaa.

Sharma alipatikana amekufa katika kituo cha afya cha msingi katika kituo cha polisi cha Chandwaji eneo la Jaipur mnamo Septemba 2016.

error: Content is protected !!