Mbunge Mwambe avuta jiko bungeni

HomeKitaifa

Mbunge Mwambe avuta jiko bungeni

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Azzan Zungu amewapongeza wabunge wawili, Cecil Mwambe (Mbunge wa Ndanda) na Rose Tweve (Mbunge wa Viti Maalum – Iringa) kwa kufunga ndoa.

Zungu amewapongeza huku akiwasihi wabunge wengine ambao bado hawajaingia kwenye ndoa kuwa wachague wenza wao kwa kuangalia kigezo cha wema badala ya uzuri maana uzuri huisha.

“Kwa kweli lazima niwapongeze kwa wabunge wawili kuoana humu ndani ni neema kwetu.“Sidhani kama na nyie mligundua kuna vitu vinapitapita lakini wamefanya heshima na wamefanya staha mpaka kufikia kuunganisha roho zao pamoja,” amesema Naibu Spika.

Cecil Mwambe alifiwa na mke wake wa kwanza mwaka mwanzoni mwa mwaka jana.

error: Content is protected !!