Marufuku kupokea  zawadi zaidi ya Sh 4,500

HomeKimataifa

Marufuku kupokea zawadi zaidi ya Sh 4,500

Maafisa wote wa serikali wanakatazwa kisheria kuchukua zawadi ya gharama ya zaidi ya Ksh 4,500 ~ Tsh 90,000 na endapo watapokea zawadi hiyo wanapaswa kuisalimisha kuwa mali ya serikali.

Sheria hiyo ya Kenya imekumbushwa na wanasheria Ambrose Weda wa Kenya baada ya Makamu wa Rais wa nchi, William Ruto hiyo kukiri kuwa alipewa zawadi ya ekari 2,536 eneo la Mata Farm.

Ruto amesema alipewa sehemu hiyo na aliyekuwa mbunge wa Taveta, Basil Criticos baada ya kumsaidia kulipa deni lake AFC.

 

error: Content is protected !!