Bei mpya za mafuta kuanza Juni 7, 2023

HomeKitaifa

Bei mpya za mafuta kuanza Juni 7, 2023

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta hapa nchini mwezi Juni, 2023.

Bei hizi zimeaanza kutumika kuanzia leo Jumatano, Juni 7, 2023 saa 6:01 usiku.

Cap Prices wef 7th June 2023 - Kiswahili_230606_205138
error: Content is protected !!