Cardi B hatarini kufungwa miaka 4 jela

HomeBurudani

Cardi B hatarini kufungwa miaka 4 jela

Mwaka 2018 rapa Cardi B alifunguliwa mashtaka kwa makosa mawili ya shambulio la kudhuru na uzembe. Mwaka 2019 alipopandishwa kizimbani kwenye Mahakama Kuu ya Queens  Cardi B alikanusha mashtaka hayo akimueleza Hakimu Joseph Zayas kwamba hana hatia.

Katika kesi ya msingi inadaiwa kuwa Cardi B alitoa maelekezo kwa wasaidizi wake kuwapiga wahudumu  wawili wa klabu ya Jade & Baddie Gi na baadaye yeye pia kushiriki kutembeza kipigo, kurusha viti na kupasua chupa ikiwa ni baada ya kusikia kuwa mmoja kati yao alitoka kimapenzi na mumewe, Offset.

Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa Jumatatu ijayo tarehe 25 mwezi huu na endapo Cardi B atakutwa na hatia basi kifungo cha miaka minne jela kitam

error: Content is protected !!