Alikiba aahidi kumtoboa Harmonize

HomeBurudani

Alikiba aahidi kumtoboa Harmonize

Alikiba amemtambia Mbwana Samatta kwa kumtaka ampange msanii Harmonize kwenye timu yake ili ampite akafunge kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta siku ya June 18 uwanja wa Mkapa Dar es Salaaam.

Alikiba amesema hivyo akimjibu Samatta baada ya Harmonize kuweka nia ya kushiriki mchezo huo akitaka kucheza timu tofauti na Kiba ili kumzuia asifunge.

error: Content is protected !!