Leo katika historia: Redio ya BBC iliasisiwa rasmi

HomeKimataifa

Leo katika historia: Redio ya BBC iliasisiwa rasmi

Tarehe kama ya leo mwaka 1922, Redio ya BBC iliasisiwa huko England. Redio ya BBC awali ilikuwa ya mtu binafasi, lakini mwaka 1927 redio iliwekwa chini ya usimamizi wa serikali na ikamilikiwa na serikali ya jiji la London.

Bajeti ya redio za BBC ambazo zinatangaza kwa lugha mbalimbali za zinadhaminiwa na serikali ya England.

Licha ya kuwa BBC inadai kwamba haipendelei upande wowote katika matangazo yake, lakini katika kipindi cha nusu karne ya hivi karibuni, chombo hicho cha kupasha habari kimegeuka na kuwa nyenzo ya propaganda za serikali ya England na hivyo kuiandalia London uwanja wa kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine.

error: Content is protected !!