Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya TFF imeamua kuwa Feisal Salum Abdallah ni mchezaji halali wa Young Africans kwa mujibu wa mkataba wake na timu hiyo.