Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’

HomeKimataifa

Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’

RAIS Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates, Dk Anita Zaidi kwenye hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo Februari 4, 2025.

Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Rais Samia amepewa tuzo hiyo katika kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamamawajawazito na watoto wachanga chini ya umri wa miaka mitano.

error: Content is protected !!