Rais Samia kutoa mtaji kwa wabunifu wa ndege nyuki ‘drone’

HomeKitaifa

Rais Samia kutoa mtaji kwa wabunifu wa ndege nyuki ‘drone’

Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kutoa mtaji kwa ajili ya utengezaji wa ndege nyuki yenye uwezo wa kupulizia dawa kwenye shamba la ekari moja baada ya kufurahishwa na ubunifu wa kijana wa Kitanzania aliyebuni ndege nyuki yenye uwezo wa kupulizia dawa kwenye shamba lenye ukubwa wa robo ekari.

Sambamba na hilo Dkt. Samia pia amesema Serikali itawezesha utengenezaji wa ndege nyuki nyingi zaidi iwapo ndege nyuki ya majaribio ya kumwagilia ekari moja itafanikiwa kutimiza lengo linalokusudiwa.

error: Content is protected !!