Meneja mpya wa Konde Gang

HomeBurudani

Meneja mpya wa Konde Gang

Mmoja wa viongozi wa lebo ya Konde Gang, Chopa kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtambulisha muigizaji Kajala Masanja kama meneja wa lebo hiyo inayomilikiwa na msanii Harmonize.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Choppa Tz (@choppa_tz)

Kajala pia ameonyesha kukubalina ana suala hilo baada ya kujibu kwenye taarifa hiyo, ikumbukwe kipindi Harmonize anaomba msamaha kwa Kajala alishawahi kukiri kwamba anatamani sana mrembo huyo awe meneja wake kwa kile anachodai kwamba ni kiongozi mzuri na mchapa kazi.

Aidha, baada ya kuomba msamaha kwa muda mrefu, Kajala amemsamehe Harmonize na hilo limethibitishwa pale mmiliki huyo wa lebo ya Konde Gang kuweka picha na ujumbe wa mrefu kwenye  ukurasa wake wa Instagram na mrembo huyo kuujibu.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

error: Content is protected !!