Ajali yaua Iringa, Neville Meena anusurika

HomeKitaifa

Ajali yaua Iringa, Neville Meena anusurika

Watu wawili wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyohusisha gari dogo na malori mawili usiku wa kuamkia leo, muda wa Saa 4:40 usiku, Iringa.

Katika ajali hiyo iliyotokea Kijiji cha Rugemba, Mafinga, Mwanahabari mkongwe aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzani, Neville Meena alikuwa miongoni mwa wanusurika akitokea Njombe kuelekea Dar es Salaam.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Meena amesema haya;

error: Content is protected !!