Ajira Jeshi la Polisi

HomeKitaifa

Ajira Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kuwajulisha kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura, tarehe 05.12.2022 ametoa tangazo la ajira kwa vijana waliohitimu katika elimu kidato cha nne, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya juu na Shahada ambao walishatihimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU).

Hivyo vijana wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hilo watembelee katika tovuti yetu ya Jeshi la Polisi kwa maelezo zaidi. 

 

error: Content is protected !!