Author: Cynthia Chacha
Tanzania, Venezuela zasaini makubaliano ya kisiasa
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Venezuela zimesaini Hati za Makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kisiasa na mkataba wa ushirikiano katika nyanja m [...]
Ufafanuzi wa laki 8 ya kuunganisha umeme
Wizara ya Nishati imesema gharama halisi ya kuunganisha huduma ya umeme katika nyumba kwa wakazi wa mijini na vijijini ni Sh800,000.
Hata hivyo, kias [...]
Auawa baada ya kubaka mbuzi
Kijana mmoja kutoka Mtunzini huko KwaZulu-Natal, Afrika Kusini ameuawa kutokana na kichapo cha wananchi wenye hasira kali baada ya kumfuma akibaka mbu [...]
Bei mpya za mafuta Septemba 2022
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa.
[...]
Orodha ya vituo vya afya 234 vilivyojengwa kwa fedha za tozo za miamala ya simu Tsh. Bilioni 117
Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa orodha ya vituo vya afya 234 vilivyojengwa kwa fedha za tozo za miamala ya simu Shilingi bilioni 117.
[...]
Magazeti ya leo Septemba 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Septemba 6,2022.
[...]
Mpango kumuwakilisha Rais Samia Rwanda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 05 Septemba 2022 amewasili Kigali nchini Rwanda ambap [...]
Maendeleo ujenzi Daraja la JPM yamridhisha Kinana
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza
Daraja hilo l [...]
Mahakama yabariki ushindi wa Ruto
Mahakama ya Juu ya Kenya leo imepitisha kwa kauli moja kuchaguliwa kwa Rais mteule William Ruto katika kura ya urais ya mwezi uliopita baada ya kutupi [...]
Walioolewa na wenye watoto ruksa kushiriki Miss Universe
Huenda mashindano ya ulimbwende yanayofanyika katika maeneo mbalimbali duniani yakachua sura mpya na kufungua fursa zaidi kwa wanawake kufaidika na ta [...]