Author: Cynthia Chacha
Rais Samia amuunga mkono Prof. Jay kwa Sh. Milioni 97
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 97 katika taasisi ya [...]
Rais Samia asema Hanang itarejea kama zamani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema maisha ya watanzania walioathirika na maafa ya mafuriko na maporomoko ya tope huko wilayani Hanang mkoani Manyara yat [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 2,244
Jumla ya wafungwa 2,244 watanufaika na msamaha uliotolewa leo na Rais Samia Suluhu ambapo 263 wataachiwa huru tarehe 09/12/2023, wafungwa wawili walio [...]
Rais Samia awapongeza watangulizi wake kwa maendeleo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Saluhu Hassan amesema mafaniko ya Tanzania yametokana na maono ya viongozi waliomtangulia.
[...]
Rais Samia apanda viwango wanawake 100 wenye ushawishi duniani
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa walioorodheshwa katika jarida la Forbes la wanawake wenye uwez [...]
Sh. bilioni 80 kuendeleza Bandari ya Mbamba Bay
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA imeingia Mkataba wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba Bay iliyopo wilayani Nyasa Mko [...]
Rais Samia akatisha safari yake
Rais Samia Suluhu Hassan amelazimika kufupisha ziara yake ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai na kurej [...]
Serikali yapeleka dawa na vifaatiba Hanang
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imefikisha msaada wa dawa na vifaatiba kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko Hanang katika Hospitali ya [...]
Sherehe za Uhuru kufanyika kimkoa
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza maadhimisho ya sherehe za uhuru (9 Disemba) yafanyike Kitaifa kwa kuzindua mchakato na kuandikwa kwa Dira ya Maendel [...]
Maboresho miundombinu ya viwanja vya ndege ni endelevu
Serikali imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani.
K [...]