Author: Cynthia Chacha
Tanzania na India kusaini mikataba mipya 15 ya ushirikiano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anajiandaa kwa ziara ya kihistoria ya kiserikali nchini India kuanzia Oktoba 8 hadi 11, [...]
Ziara ya Rais Samia India itakavyodumisha, kuimarisha na kuendeleza uhusiano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa January Makamba amesema, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia [...]
Kardinali Rugambwa: Watanzania dumisheni upendo na umoja kwa wote
Kardinali Protase Rugambwa amewataka Watanzani wawe tayari kujenga na kudumisha utamaduni wa upendo na mshikamano na watu wengine hata ambao si Watanz [...]
Mambo matatu yakufanya unapopitia simu ya mpenzi wako
Kupitia simu ya mweza wako bila wao kujua ni makos, lakini mara nyingine inaweza kuwa na umuhimu.
Ikiwa unapata hisia ya mambo kutokwenda sawa na h [...]
Maonesho ya mboga na matunda Doha kunufaisha wakulima nchini
Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023) ikiwa ni utekele [...]
Waziri aagiza kitengo cha huduma kwa wateja kuimarishwa
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameliagiza Shirika la Ndege la Air Tanzania kuimarisha utoaji wa taarifa kwa wateja wao ili kuepusha sintofah [...]
TPDC: Visima vya gesi asilia havijakauka
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ndugu Mussa Makame amefanya ziara yake Mkoani Mtwara na kutembelea kitalu cha Gesi asili [...]
Rais Samia aagiza kuanzishwa kwa tovuti za kumbukumbu za viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza kuanzishwa kwa tovuti ya Serikali ya kuhifadhi kumbukumbu za viongozi walio [...]
UBIA WA TWIGA WAONESHA ATHARI CHANYA ZA KIMAGEUZI ZA UCHIMBAJI MADINI, YASEMA BARRICK
Kampuni ya Dhahabu ya Barrick (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) na serikali ya Tanzania zimedhihirisha jinsi uchimbaji madini unavyoweza kuwa na manufaa makubwa p [...]
Matukio ya wavamiaji katika mgodi wa Barrick North Mara
Tarehe 21 Septemba mwaka huu kulitokea tukio ambapo wavamiaji takribani 100 kwa njia isiyo halali walivamia eneo la mgodi wakati wa mvua kubwa.
Mak [...]