Author: Cynthia Chacha
2024/2025 walimu wapya wa sayansi 5,115 waajiriwa
Walimu 5,115 wa masomo ya sayansi wameajiriwa katika kipindi cha mwaka 2024/2025 na kuwa wamepangiwa katika maeneo yenye upungufu zaidi.
Naibu Wazi [...]
Rais Samia aridhia ajira mpya 300 TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kuongeza nafasi za ajira 300 katika mamlaka hiyo.
Taarifa ya Mk [...]
Hospitali ya Rufaa Manyara yaanza kutoa huduma za kusafisha figo
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara imepiga hatua katika kuboresha huduma za afya za kibingwa kwa wananchi baada ya kuzindua rasmi huduma ya usafish [...]
Kituo kikubwa cha upandikizaji figo kujengwa Tanzania
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja, hatua inayoboresha upatikanaji wa huduma hiyo kwa urahisi [...]
Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan wazidi kuimarika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua na kuimarika katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia am [...]
Mradi wa umeme wa Kilovoti 132 Tabora wabakiza asilimia 5 kukamilika
Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limesema ujenzi wa miundombinu ya umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi unaofanywa na kampuni ta [...]
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya aunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amekiri kuwa ukosoaji wa hivi majuzi wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhusu tabia ya Wakenya huenda un [...]
Rais wa Namibia awasili Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah amewasili nchini Mei 20, 2025 kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tareh [...]
Polisi yawasaka waliosambaza taarifa za upotoshaji mtandaoni kupitia X (Zamani Twitter)
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuanza msako maalum dhidi ya watu wanaodaiwa kusambaza taarifa za upotoshaji mtandaoni kupitia jukwaa la kijamii la [...]
Wabunge wampongeza Rais Samia kwa ubunifu na mageuzi katika Sekta ya Utalii
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu ali [...]

