Author: Cynthia Chacha
Tanzania ya pili uzalishaji wa tumbaku Afrika
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Mhe. Hussein Bashe amesema takwimu za hivi karibu zinaonyesha Tanzania imekuwa mzalishaji wa pili mkubwa wa tumbaku [...]
Kenya yaomba msaada wa dawa za TB Tanzania
Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha Wafula amesema kutokana na uhaba wa dawa za kutibu kifua kikuu au TB, Serikali yao ilichukua uamuzi wa kuomba [...]

Rais Samia atengua uteuzi wa kamishna wa petroli na gesi
RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Songora Mjinja.
Taarifa iliyotolewa leo Januari 4, 2024, na Mkuru [...]
Bei ya mafuta yashuka
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazotumika [...]
Mwindaji wa mamba alifuata sheria
Uchuguzi unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kib [...]

Rais Samia achangia Sh. milioni 150 ujenzi wa kanisa Machame
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakos [...]
Rais Samia afarijika kuona 58% ya wahitimu ni wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuleta mabadiliko chanya katika jamii mara wanapohitimu masomo yao.
Ameyasema hay [...]
Kozi nne zaongezwa mikopo ya diploma 2023-2024
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb) imetangaza nyongeza ya kozi mpya nne zitakazopewa kipaumbele katika utoaji wa mikopo kwa ngazi ya diploma kwa m [...]
Rais Samia miongoni mwa mwanawake 100 wenye ushawishi Afrika
Kampuni ya Avance Media katika toleo lake la tano imetoa orodha ya wanawake 100 wenye ushawishi zaidi barani Afrika kwa mwaka 2023.
Miongoni mwao n [...]
Rais Samia : Tanzania inafunguka, Tanzania ni jina kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wazalishaji nchini kuongeza juhudi na kutumia fursa zilizopo nchini ili ziweze kuwasaidia katika shughuli zao lakin [...]