Author: Cynthia Chacha
Matokeo kidato cha sita 2023, 11 wafutiwa
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya watahiniwa 11 wa kidato cha sita baada ya kubainika kufanya vitendo vya udanganyifu katika mti [...]
Ajira mpya 77 Kada za Afya
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imetangaza tena nafasi za ajira kwa kada za Afya 77 nakuwataka wa [...]
Tanzania haitakuwa kikwazo kwa ukuaji wa kiuchumi wa Malawi
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema uhuru wa Malawi una maana kubwa kwao kwani unakamilisha uhuru wao kama jirani huru na mshirika wa kiuchumi katika nj [...]
Bei ya mafuta shuka kwa zaidi ya Sh100
Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli Tanzania kwa Julai 2023 imeshuka kwa zaidi ya Sh100 kwa lita ndani ya mwezi mmoja huku bei ya mafuta ya taa katik [...]
Upungufu wa chakula SADC waongezeka 25.7%
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuanza kutekeleza kikamilifu sera bora za k [...]
Mbunge wa Mbarali afaraki dunia
MBUNGE Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, Francis Mtega amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na Bunge leo Julai Mosi, 2023 inasema kuwa Mtega amepata a [...]
Rais Samia afanya uteuzi wajumbe wa NEC
Rais Samia Suluhu amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.
[...]
Rais Samia apongezwa na USAID kwa mageuzi ya kiuchumi na kidemokrasia
Msimamizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), Bi. Samantha Power, amekiri azma ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kukuza mageuzi [...]
Jaji Feleshi akemea lugha za kibaguzi mjadala wa bandari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa k [...]
CNOOC ya China kufanya utafiti wa mafuta na gesi baharini Tanzania
Kampuni ya CNOOC Ltd ya China inapanga utafiti wa mafuta na gesi baharani kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Petroli la Tanzania ( TPDC) waka [...]