Author: Cynthia Chacha

1 31 32 33 34 35 255 330 / 2545 POSTS
Daraja la Tanzanite kufungwa kila Jumamosi

Daraja la Tanzanite kufungwa kila Jumamosi

Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanz [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,082

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,082

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,082 mambpo kati yao wafungwa 29 wameachiliwa huru leo Aprili 26,2024, wafungwa 20 waliohukumiwa [...]
Rais Samia: tudumishe muungani wetu

Rais Samia: tudumishe muungani wetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubutia taifa kuhusu miaka 60 ya Muungano huku akisisitiza katika kudumish [...]
Rais Samia: tuwaenzi waasisi wetu kwa vitendo

Rais Samia: tuwaenzi waasisi wetu kwa vitendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania wote kuenzi kwa vitendo muungano ulioanzishwa na waa [...]
Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini

Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini Tanzani [...]
Fahamu mambo atakayofanya Rais Samia Uturuki

Fahamu mambo atakayofanya Rais Samia Uturuki

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kuanzia leo Aprili 17 hadi 20, 2024 kufuatia mwaliko wa Rais wa [...]
Serikali yatoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya huduma za afya kwa waathirika wa mafuriko

Serikali yatoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya huduma za afya kwa waathirika wa mafuriko

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi 216, 715, 516 kwa ajili ya kuhudumia wahanga wa mafuriko waliokus [...]
Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr

Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja ,amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr. Kupitia kuras [...]
Mange Kimambi amepotea njia

Mange Kimambi amepotea njia

Na Isaya Mdego, safarini Marekani. Jana na usiku wa kuamkia leo Mange Kimambi amechapisha maandiko mawili ya kumtukana Rais Samia Suluhu. Wako wali [...]
17 waokolewa meli iliyozama DRC

17 waokolewa meli iliyozama DRC

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema watu 17 wameokolewa katika tukio la kuzama Meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, iliyo [...]
1 31 32 33 34 35 255 330 / 2545 POSTS
error: Content is protected !!