Author: Cynthia Chacha

1 33 34 35 36 37 255 350 / 2545 POSTS
Rais Samia aipongeza Yanga SC

Rais Samia aipongeza Yanga SC

Rais wa Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Yanga SC, kwa kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuishushia kichap [...]
Rekodi yavunjwa ongezeko la watalii wa kigeni

Rekodi yavunjwa ongezeko la watalii wa kigeni

Mapato yanayotokana na utalii yamezidi kuongezeka kutoka Dola za Kimarekani bilioni 1.3 mwaka 2021 hadi kuvunja rekodi na kufikia Dola za Kimarekani b [...]
Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers

Rais Samia awapongeza Ramadhan Brothers

Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza vijana wa kitanzania wanaofahamika kwa jina maarufu la Ramadhan Brothers kwa kushinda shindano la ‘America Got T [...]
Tanzania na Norway kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo

Tanzania na Norway kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo

Tanzania na Norway zimesaini Mkataba na Hati mbili za makubalino ya kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo. Mkataba na Hati hizo zimesainiwa [...]
Mfalme Harald V ampongeza Rais Samia kwa kulinda haki za mtoto wa kike

Mfalme Harald V ampongeza Rais Samia kwa kulinda haki za mtoto wa kike

Mfalme wa Norway, Harald V amempongeza Rais Samia Suluhu kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuhakikisha kwamba analinda na kuzipigania haki za mtoto wa kik [...]
Rais Samia Suluhu na Papa Francis kuendeleza uhusiano wa Tanzania na Vatican

Rais Samia Suluhu na Papa Francis kuendeleza uhusiano wa Tanzania na Vatican

Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis leo Februari 12,2024 San Damaso mjini Vatican na kufanya mazunguko ya faragha. Pia Rais Samia alikutana [...]
Viongozi watano walioambatana nao Rais Samia Vatican

Viongozi watano walioambatana nao Rais Samia Vatican

Rais Samia Suluhu Hassan ameambata na viongozi watano wa vyama vya kitume vya Kanisa Katoliki Tanzania kwenda kumwona Kiongozi wa Kanisa hilo duniani, [...]
Dkt. Mpango aeleza sababu ya kifo cha Lowassa

Dkt. Mpango aeleza sababu ya kifo cha Lowassa

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa kilichotokea leo tarehe 10 Februar [...]
Sera za Rais Samia zilivyoimarisha shilingi ya Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo

Sera za Rais Samia zilivyoimarisha shilingi ya Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo

Tangu aingie madarakani Machi 19, 2021 , Rais Samia Suluhu ameweza kuimarisha thamani ya shilingi ya Tanzania na kuendelea kuwa imara ikilinganishwa n [...]
Ushawishi wa Tanzania Duniani utategemea na Ubora wa Sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa

Ushawishi wa Tanzania Duniani utategemea na Ubora wa Sera ya Mambo ya Nje inayorekebishwa

Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya  Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa y [...]
1 33 34 35 36 37 255 350 / 2545 POSTS
error: Content is protected !!