Author: Cynthia Chacha
Tanzania na dhamira ya kuwa mwenyeji AFCON 2027
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa [...]
Bandari ya Dar yaipiku Bandari ya Mombasa kwa ubora duniani
Katika ripoti yake ya hivi karibuni kuhusu bandari zenye ufanisi zaidi duniani, Benki ya Dunia imesema kuwa bandari ya Mombasa imepinduliwa na bandari [...]
Majaji walioweka historia Ikulu mpya Chamwino
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu Ikulu mpya ya Tanzania kuzinduliwa, leo majaji sita wa Mahakama ya Rufani wamekuwa watu wa kwanza kuapa katika jengo [...]
Fahamu mambo 3 yaliyokwamisha uamuzi wa kuhamia Ikulu Chamwino
Wazo la kuhamisha Ikulu kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma lilianza mwaka 1973 ambapo Hayati Mwalimu Nyerere alitoa wazo hilo na kutaka likamilike nda [...]
Sekta ya Mawasiliano inazidi kukua nchini
Kutokana na Hotuba ya Wazari wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, iliyosomwa na Waziri Nape Nnauye imeonesha kuwa Sekta ya Mawasiliano imee [...]
Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo.
Maamuz [...]
Serikali yaweka mambo shwari Kariakoo
Hatimaye mgomo wa wafanyabiashara wa Soko la kimataifa la Karikoo wasitishwa mara baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa maagizo matano yaliyoleng [...]
Waziri wa Fedha akaangwa na wafanyabiashara Kariakoo
Baadhi ya wafanyabiashara nchini Tanzania wamesema hawaridhiishwi na namna Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba anavyoshughulikia changamoto [...]
Wafanyabiashara Kariakoo wakubali Ombi
Licha ya kupongeza hatua hiyo ya Serikali kuitikia wito na kuamua kuzivalia njuga changamoto zao Mwenyekiti wa wafanyabiashara sokoni hapo Martin Mbwa [...]
Serikali yasikia kilio cha wafanyabiashara K/koo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzan [...]