Author: Cynthia Chacha

1 38 39 40 41 42 274 400 / 2733 POSTS
Rais Samia: Poleni wananchi Kariakoo

Rais Samia: Poleni wananchi Kariakoo

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Zimamoto na Hospitali ya Muhimbili sambamba na menejime [...]
Rais Samia: Kwaheri King Kikii

Rais Samia: Kwaheri King Kikii

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii pamoja na wapenzi wa muziki kufuatia kifo cha mwanamuziki [...]
Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil

Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama [...]
Tanzania kushiriki Mkutano wa Viongozi wa G20 kwa mara ya kwanza

Tanzania kushiriki Mkutano wa Viongozi wa G20 kwa mara ya kwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atashiriki katika Mkutano wa Viongozi wa G20 utakaofanyika kwa mara ya kwanza [...]
Maonesho ya utalii wa Tanzania Ujerumani yafana

Maonesho ya utalii wa Tanzania Ujerumani yafana

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Hassan Mwamweta ameyataka makampuni makubwa ya Utalii nchini Ujerumani kuifanya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan [...]
Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bilioni 500 ujenzi wa miundombinu Dar

Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bilioni 500 ujenzi wa miundombinu Dar

Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan zaidi ya Shilingi Bilioni 500 zimeto [...]
Rais Samia kuanza ziara Cuba

Rais Samia kuanza ziara Cuba

Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Cuba yenye lengo la kuimarisha uhusiano baina ya mataifa hayo mawili. Ziar [...]
BoT: Uchumi hautoathirikia noti zikiondolewa

BoT: Uchumi hautoathirikia noti zikiondolewa

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uamuzi wa kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za Shilingi ya Tanzania zilizoidhinishwa kutumika na benki hiyo m [...]
Fahamu mambo matatu yatakayoboresha kilimo Tanzania

Fahamu mambo matatu yatakayoboresha kilimo Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imeweka mikakati ya kuimarisha kilimo ili iwe mzalishaji mkubwa wa chakula Afrika Mashariki na Kusini mwa Af [...]
Rais Samia kwenda Marekani kushiriki Mjadala wa Norman E.Borlaug

Rais Samia kwenda Marekani kushiriki Mjadala wa Norman E.Borlaug

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hii leo tarehe 29 Oktoba 2024, anatarajia kuondoka nchini kuelekea Des Moines, nchini Mar [...]
1 38 39 40 41 42 274 400 / 2733 POSTS
error: Content is protected !!