Author: Mjumbe
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 24, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumapili, Oktoba 24 2021.
[...]
Tazama hapa Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 23, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Mbinu 5 za kuzuia simu yako isidukuliwe
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi kwa watumiaji wa Kompyuta mpakato na simu kutoka nchi mbalimbali kuhusu wadukuzi kudukua taarifa zao. Ripot [...]
Taharuki yatanda watoto kuuawa na Fisi
Wakazi wa kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga wamekumbwa na hofu kufuatia kuwepo kwa matukio ya watoto kuliwa na fisi. Katika matukio hayo watoto [...]
Nafasi za kazi TAKUKURU
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) invites qualified Tanzanians to fill vacant posts as shown below:
INVE [...]
Watumishi na viongozi wa Serikali washiriki kulima bangi Kilosa
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga amewataja baadhi ya viongozi, watumishi wa umma wa vijiji, vitongoji na kata zinazozunguka msitu wa Mkwi [...]
Kamera za usalama kufungwa nchini
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, ameagiza Wizara ya Teknolojia ya Habari kushirikiana na Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi kufunga kamera za ulinzi kwenye [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 23 (Sanchez kutimkia Everton, huku Real Madrid ikimfuatilia Antonio Rudiger)
Kipaumbele cha Antonio Rudiger ni kubakia Chelsea, lakini mchuano wa kutaka saini yake 'uko wazi' (Fabrizio Romano).
Klabu ya Everton inajiandaa ku [...]
Nafasi mpya za kazi TRA
1097 Job Opportunities at Tanzania Revenue Authority (TRA) 2021 On behalf of Tanzania Revenue Authority (TRA), https://portal.ajira.go.tz /2021/10/22/ [...]
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 23, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Oktoba 23, 2021.
[...]